HTTP 200 OK
Allow: GET, POST, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"count": 1608389,
"next": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=135743",
"previous": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=135741",
"results": [
{
"id": 1373831,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373831/?format=api",
"text_counter": 338,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kikuyu, UDA",
"speaker_title": "Mhe. Kimani Ichung’wah",
"speaker": null,
"content": " Asante Mhe. Spika wa Muda. Mhe. Bady Twalib amesema kuwa tuko na Ksh63 bilioni ambazo hazijulikani zitajenga manyumba wapi. Kwa hivyo, mbona tusitumie hizo fedha kulipa madeni ya pending bills ya wenye kandarasi wa Fujita Corporation, ambao wanajenga barabara huko Dongo Kundu katika eneo lake la Bunge. Lakini Mhe. Bady Twalib alipitisha sheria hapa na kusema hizi fedha za Housing Levy haziwezi kutumika kwa mahitaji mengine yoyote, hata kulipa madeni ila tu kazi ya ujenzi wa manyumba na mambo ambayo yanaambatana na huo ujenzi. Kwa hivyo, Mhe. Bady asiwafanye Wakenya waamini kuwa mimi ndiye nimekataza Fujita Corporation kulipwa. Sijui ako na nia gani na Fujita Corporation . Kufuatia Kanuni za Kudumu 90, atwambie anamjua aje huyu Fujita Corporation. Mbona anamtetea yeye tu alipwe?"
},
{
"id": 1373832,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373832/?format=api",
"text_counter": 339,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. David Ochieng’",
"speaker_title": "Spika wa Muda",
"speaker": null,
"content": " Asante. Unaweza ongea na Bwana Opiyo Wandayi akwambie pending bills ni nini kwa Kiswahili. Mhe. Twalib uko na sekunde ishirini kumaliza mchango wako."
},
{
"id": 1373833,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373833/?format=api",
"text_counter": 340,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Laughter)"
},
{
"id": 1373834,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373834/?format=api",
"text_counter": 341,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika wa Muda, ninaomba kando na nafasi yangu, uniongezee dakika kidogo ambazo zimechukuliwa kwa kuwa nimetatizwa kidogo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
},
{
"id": 1373835,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373835/?format=api",
"text_counter": 342,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. David Ochieng’",
"speaker_title": "Spika wa Muda",
"speaker": null,
"content": " Uko na sekunde thelathini kumaliza mchango wako."
},
{
"id": 1373836,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373836/?format=api",
"text_counter": 343,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": " Sawa. Sina interest ama jambo lolote na Fujita Corporation. Nimetaja tu hali ilivyo. Nikiwa mwanakamati wa Kamati ya Kiidala ya Uchukuzi na Miundomisingi, ninajua ni wapi tunadaiwa, hatujamaliza kazi na hatuendelei mbele. Kununua nyumba hizi, inatakikana utoe asilimia kumi. Hii inamaanisha kama ni shilingi milioni tano uwe na Ksh500,000. Mama mboga na bodaboda watatoa Ksh500,000 wapi? Ninaona huu ni ufisadi unakuja. Kwa Mbunge Ksh5 milioni ni mswaki na kwa hivyo, Mbunge anaweza kuchukua pesa na kuweka arbuni ya nyumba kumi...."
},
{
"id": 1373837,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373837/?format=api",
"text_counter": 344,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. Bady Twalib’s microphone was switched off)"
},
{
"id": 1373838,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373838/?format=api",
"text_counter": 345,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. David Ochieng’",
"speaker_title": "Spika wa Muda",
"speaker": null,
"content": " Asante . Katika hali hiyo ya Kiswahili, twende Likoni tuskie. Tubaki kwa Kiswahili bado. Bwana, Mugabe tunakuja kwako. Kiswahili kitawale kidogo."
},
{
"id": 1373839,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373839/?format=api",
"text_counter": 346,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. Bady Twalib spoke off the record)"
},
{
"id": 1373840,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373840/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. David Ochieng’",
"speaker_title": "Spika wa Muda",
"speaker": null,
"content": "Muda wako umekwisha. Wakati huu ni wa Likoni."
}
]
}