HTTP 200 OK
Allow: GET, POST, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"count": 1608389,
"next": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=138709",
"previous": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=138707",
"results": [
{
"id": 1403491,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403491/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika. Namshukuru Seneta wa Narok Kaunti, Sen. Olekina, kwa kuleta shida ambazo kaunti ziko nazo kuhusu madeni ambayo hayajalipwa kwa muda mrefu sana. Kwa kawaida, serikali za kaunti na Serikali Kuu bado ni serikali ambazo zimechaguliwa na raia wa nchi hii. Pesa ambazo wanatumia ni zile ambazo zimetolewa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
},
{
"id": 1403492,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403492/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "kama ushuru na raia wa nchi hii. Pesa za kaunti sio pesa ambazo hazina hesabu, ziko na hesabu yake na zinatakiwa kujulikana zimefanya kazi gani. Bw. Naibu Spika, kuna jambo linalojulikana kama public participation . Kabla mradi haujapitishwa katika bunge la kaunti, lazima wananchi waseme mradi wanaotaka na mahali utafanyika. Baada ya wananchi kuamua mradi wanaotaka ufanywe, wanaanza kupanga mpango wa kuanza mchoro kama ni mjengo au barabara. Halafu, huo mchoro unawekewa bei katika shughuli inayoitwa quantity survey . Baada ya gharama ya ujensi huo kujulikana, inapelekwa katika bunge la kaunti na kushughulikiwa ipasavyo. Baadaye, inapitishwa kama mpango ambao umetoka kwa wananchi wa kaunti hiyo. Baadaye, mambo ya vile kazi itafanyika inatangazwa katika magazeti. Majina ya"
},
{
"id": 1403493,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403493/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "contractors"
},
{
"id": 1403494,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403494/?format=api",
"text_counter": 141,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "ambao wanafanya hiyo kazi, wanajaza malipo yao na yanapitishwa na wale watu wanaoshughulika na procurement ya huo mpango. Hakuna kitu kitakachofanyika katika nchi hii ama kaunti ambacho kimepita katika Bunge la Kitaifa au la kaunti bila kujulikana hiyo budget inapangiwa mradi gani. Shida iliyo katika kaunti ni kuwa, baada ya budget kupitishwa na kujulikana ni"
},
{
"id": 1403495,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403495/?format=api",
"text_counter": 142,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "project"
},
{
"id": 1403496,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403496/?format=api",
"text_counter": 143,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "gani itafanyika, wakati contractor amefanya kazi na ameandike certificate yake, inaenda kwa ofisi ya CoB. Certificate ikifika huko na pesa ilipwe, hiyo pesa haiendi kwa huyo contractor . Hiyo pesa ikitoka kwa CoB, inabadilishwa na inalipwa contractor mwingine."
},
{
"id": 1403497,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403497/?format=api",
"text_counter": 144,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Contractor"
},
{
"id": 1403498,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403498/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "ambaye certificate yake ilifika huko, anakaa akingoja pesa yake ilipwe ilhali pesa yake ilishalipwa katika ofisi ya CoB; a ccount number na jina za kampuni ziko huko na pia, jina na sahihi ya mwenye kutayarisha hiyo certificate kwa kaunti ziko huko. Kitu kimoja ambacho kinasababisha contractors na suppliers katika kaunti kuangamia ni kwamba pesa zao zinakuwa diverted . Zinabadilishwa kutoka kwa kampuni yao na zinalipwa kampuni nyingine. Niko na ushahidi kutoka Ofisi ya CoB. Kwamba, kuna kampuni za contractors na"
},
{
"id": 1403499,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403499/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "suppliers"
},
{
"id": 1403500,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403500/?format=api",
"text_counter": 147,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "katika kaunti ya Marsabit, ambayo nasimamia kama Seneta, ambao kulingana na ofisi ya CoB, wamelipwa. Nimepewa hizo documents kutoka kwa hiyo Ofisi na wale contractors wangefaa kulipwa, walisema hawajapata hiyo pesa nilipowauliza. Bw. Naibu Spika, sababu nyingine inayofanya pesa ya contractors na suppliers kucheleweshwa ni Own Source Revenue (OSR); ule ushuru unaonafaa kukusanywa katika kaunti. Wakati bajeti inapangwa, wanaongeza kiwango ambacho wanafaa kuokota kiwe zaidi. Hiyo inafanya suppliers wa kaunti wakose. Bw. Naibu wa Spika, shida ya tatu ni wakati bajeti imepitishwa na ushirika wa umma umefanywa, kuna kitu kinachosumbua sana ambacho kinaitwa supplementarybudget. Kwa mfano, baada ya bajeti kupitishwa kwa kaunti yangu ya Marsabit, yale maendeleo yangefanywa kama ujenzi wa barabara, nyumba, mashule au mahospitali na yalikuwa kwa bajeti, yale yaliyopangwa yanabadilishwa na supplementary budget inatengenezwa. Pesa zote zinatolewa kwa hayo maendeleo na zinapelekwa kwa"
}
]
}