GET /api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=138859
HTTP 200 OK
Allow: GET, POST, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "count": 1608389,
    "next": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=138860",
    "previous": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=138858",
    "results": [
        {
            "id": 1405001,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405001/?format=api",
            "text_counter": 377,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Olekina",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 407,
                "legal_name": "Ledama Olekina",
                "slug": "ledama-olekina"
            },
            "content": "Bw. Spika wa Muda, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Hoja hii itakayotuwezesha kuzingatia umuhimu wa talanta ya vijana wetu, ambao wengi wao katika Kaunti ya Mombasa, hujipata wameenda baharini. Kama kungekuwa na Stadium ambayo wangeenda kukimbia, pengine tungepata wakimbiaji wengine kutoka Mombasa. Wakati Mhe. Faki aliponiuliza nichangie Hoja hii, kuna jambo fulani nililolifikiria. Ni kweli kabisa kwamba tuna kaunti 47 na tuko na talanta nyingi katika Kenya hii. Je, wakati mwengine inatubidi tuangalie kaunti zote za Kenya tuone ni gani haina hivi viwanja vya michezo? Bw, Spika wa Muda, utaniwia radhi kwa sababu Kiswahili ni lugha geni kwangu, lakini nitajaribu tu."
        },
        {
            "id": 1405002,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405002/?format=api",
            "text_counter": 378,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Hon. Senators",
            "speaker_title": "",
            "speaker": null,
            "content": "Uko sawa."
        },
        {
            "id": 1405003,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405003/?format=api",
            "text_counter": 379,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Olekina",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 407,
                "legal_name": "Ledama Olekina",
                "slug": "ledama-olekina"
            },
            "content": "Niko sawa. Nashukuru sana. Bw. Spika wa Muda, tunajua ya kwamba, mara kwa mara, Kenya huwa inaenda kutafuta nafasi ya kucheza michezo ya kiafrika. Watu husema viwanja tulivyo navyo"
        },
        {
            "id": 1405004,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405004/?format=api",
            "text_counter": 380,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Olekina",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 407,
                "legal_name": "Ledama Olekina",
                "slug": "ledama-olekina"
            },
            "content": "The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
        },
        {
            "id": 1405005,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405005/?format=api",
            "text_counter": 381,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Olekina",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 407,
                "legal_name": "Ledama Olekina",
                "slug": "ledama-olekina"
            },
            "content": "Kenya hii ni vichache. Wengi husema viwanja vyote viko Nairobi na wengine husema pengine kuna kimoja Eldoret na Kisumu. Hoja iliyoletwa na mwenzetu, inatakiwa sote tuiingalie kwa manufaa ya biashara, “ economic impact ”, kama vile wazungu wanavyosema. Tukiwa na kiwanja kikubwa, ambacho michezo ile ya kimataifa inaweza kufanyika---"
        },
        {
            "id": 1405006,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405006/?format=api",
            "text_counter": 382,
            "type": "scene",
            "speaker_name": "",
            "speaker_title": "",
            "speaker": null,
            "content": "(Sen. Madzayo stood up in his place)"
        },
        {
            "id": 1405007,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405007/?format=api",
            "text_counter": 383,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Olekina",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 407,
                "legal_name": "Ledama Olekina",
                "slug": "ledama-olekina"
            },
            "content": "Bw. Spika wa Muda, tulikubaliana na Kiongozi wa Walio Wachache kwamba, nikiwa nazungumza hapa ananisikiliza ili nikipotea ananisaidia. Lakini sasa ameanza kuzungumza na Sen. Wambua. Hii ni shida kubwa sana. Naunga mkono Hoja hii ya kuweka fedha za kujenga stadia . Lakini jambo ambalo lazima tulitilie maanani ni, je, wakati tumetenga fedha kadhaa, jukumu la kaunti litakuwa lipi, ili kuhakikisha hizi stadia hazitakuwa zile watu wanasema, “ white elephantproject?”. Ni lazima tutenga fedha za kujenga kiwanja, isikuwe “ndovu mweupe” ama ile nyumba kubwa ambayo imejengwa tu. Naunga mkono tutafute pesa za kujenga stadia, lakini tukiweka hizo pesa, ni lazima kila mwaka tuchangie pesa zingine za kuhifadhi zile stadia . Hii ni kwa sababu tunaweza kufurahi na kuchanga pesa na tuweke hata bilioni mbili. Lakini, tukishafanya hivyo, sisi kama Wakenya tunajua ile shida hutokea. Mara contactor hajamaliza hiyo"
        },
        {
            "id": 1405008,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405008/?format=api",
            "text_counter": 384,
            "type": "scene",
            "speaker_name": "",
            "speaker_title": "",
            "speaker": null,
            "content": "project"
        },
        {
            "id": 1405009,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405009/?format=api",
            "text_counter": 385,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Olekina",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 407,
                "legal_name": "Ledama Olekina",
                "slug": "ledama-olekina"
            },
            "content": ". Mradi ambao ni wa bilioni mbili, unaishia kuhitaji bilioni sita. Hoja hii iliyoletwa na Sen. Faki inafaa kuhakikisha kwamba hakuna ufisadi. Seneti ikishapitisha zile pesa ambazo zitatengwa kujengea ile stadium katika Kaunti ya Mombasa, ule mda uliodhamiriwa kuhakikisha ya kwamba project hiyo imemalizika, umetiliwa maanani."
        },
        {
            "id": 1405010,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405010/?format=api",
            "text_counter": 386,
            "type": "scene",
            "speaker_name": "",
            "speaker_title": "",
            "speaker": null,
            "content": "(Loud consultations)"
        }
    ]
}