GET /api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=152776
HTTP 200 OK
Allow: GET, POST, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "count": 1608389,
    "next": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=152777",
    "previous": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=api&page=152775",
    "results": [
        {
            "id": 1545952,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545952/?format=api",
            "text_counter": 55,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 13223,
                "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
                "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
            },
            "content": "Nikimalizia kabisa, asubuhi sikupata fursa ya kuongea kuhusu ule Mswada ambao tuko nao hapa leo wa County Additional Allocations Bill ambao umechelewa kwa muda wa miezi nane. Bunge la Kitaifa wanasema ya kwamba hawataki pesa za barabara ziende The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
        },
        {
            "id": 1545953,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545953/?format=api",
            "text_counter": 56,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 13223,
                "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
                "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
            },
            "content": "kwa gatuzi zetu kwa sababu pesa ikienda huko inaenda kutumika vibaya. Nani hajui ya kwamba ufisadi mwingi uko katika maeneo bunge. Waheshimiwa wengi Wabunge wanafanya tender zao wenyewe. Nilikuwa mahali nikiongea na wananchi katika hadhara na mambo yangu ya uangalizi. Wananchi wanauliza inawezekanaje mheshimiwa siku hizi barabara zikitengenezwa zikiwekwa simiti zinakaa mwaka mmoja na kuharibika. Zamani barabara zilikuwa zinatengenezwa na kukaa kama miaka kumi na tano. Nikawaambia ni kwa sababu ya ufisadi na ulafi wa Wabunge. Wale Wabunge wanafanya tender zao wenyewe. Na kama hawajafanya tender zao wenyewe, ule ufisadi wa kuitisha hongo unakuwa mwingi sana. Sasa kama mwanakandarasi atakupatia hongo ya asilimia 20, ni lazima aweke simiti kidogo na mchanga mwingi. Kwa hivyo, unapata barabara imetengenezwa na baada ya mwaka mmoja imetoa waya tayari."
        },
        {
            "id": 1545954,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545954/?format=api",
            "text_counter": 57,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 13223,
                "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
                "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
            },
            "content": "Kwa hivyo, sisi sote tukubali kwamba ufisadi uko katika gatuzi zetu. Ni jambo la kuhuzunisha kwamba huu sio ule ugatuzi tuliolilia na kupitisha mwaka wa 2010; wa kupeleka pesa mashinani. Sisi ambao tunatoka katika eneo zilizo na idadi ndogo ya watu hatukuwa tunapata maendeleo kwa sababu tulikuwa tunaulizwa tunaleta kura ngapi katika meza ili watupatie maendeleo."
        },
        {
            "id": 1545955,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545955/?format=api",
            "text_counter": 58,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 13223,
                "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
                "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
            },
            "content": "Lakini leo pesa nyingi zinafika mashinani kwa sababu ya mfumo wa ugatuzi. Magavana, Members of the County Assembly (MCAs) pamoja na wananchi wanachagua miradi yao wenyewe na wanaisimamia inapofanyika katika gatuzi zetu. Kwa hivyo, kulingana na Kifungu cha 99 cha Katiba, sisi kama Maseneta tutasimama kidete kuhakikisha ya kwamba zile pesa ambazo zinatakikana kwenda kwa magatuzi, zimeenda. Tutafuatilia kuona ya kwamba zimetumika ili mwananchi aliye mashinani apate huduma bora."
        },
        {
            "id": 1545956,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545956/?format=api",
            "text_counter": 59,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 13223,
                "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
                "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
            },
            "content": "Namalizia hapo na kuomba Maseneta wakubali tupate muda zaidi wa kufuatilia hizi miradi ili mwananchi apate thamani ya pesa zake."
        },
        {
            "id": 1545957,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545957/?format=api",
            "text_counter": 60,
            "type": "speech",
            "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
            "speaker_title": "",
            "speaker": {
                "id": 13223,
                "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
                "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
            },
            "content": "Naunga mkono ripoti hii, Bw. Naibu Spika."
        },
        {
            "id": 1545958,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545958/?format=api",
            "text_counter": 61,
            "type": "scene",
            "speaker_name": "",
            "speaker_title": "",
            "speaker": null,
            "content": "(Question proposed)"
        },
        {
            "id": 1545959,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545959/?format=api",
            "text_counter": 62,
            "type": "scene",
            "speaker_name": "",
            "speaker_title": "",
            "speaker": null,
            "content": "(Interruption of debate on Motion)"
        },
        {
            "id": 1545960,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545960/?format=api",
            "text_counter": 63,
            "type": "heading",
            "speaker_name": "",
            "speaker_title": "",
            "speaker": null,
            "content": "COMMUNICATION FROM THE CHAIR"
        },
        {
            "id": 1545961,
            "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545961/?format=api",
            "text_counter": 64,
            "type": "heading",
            "speaker_name": "",
            "speaker_title": "",
            "speaker": null,
            "content": "VISITING DELEGATION FROM SAWAGONGO BOYS HIGH SCHOOL, SIAYA COUNTY"
        }
    ]
}