Ali Wario

Parties & Coalitions

Born

5th May 1970

Post

P. O. Box 10 Bura, Tana

Email

warioali@yahoo.com

Telephone

0721398361

Telephone

0725206089

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 612.

  • 12 Oct 2022 in National Assembly: (Garsen, ODM) view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. On behalf of my Chair, I beg to lay the following Paper on the Table of the House today, Thursday, 9th June, 2022: The Exit Report of the Departmental Committee on Energy for the 12th Parliament 2017- 2022. Thank you, Hon. Speaker view
  • 2 Dec 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chair, as I support, there is a lot of misuse of public funds. We can build a classroom with Kshs1 million from the NG-CDF, but counties exaggerate their figures. There is also the issue of labelling projects of the national Government. It should be done because governors sometimes go where roads have been built by the national Government and claim them as county roads. That happens to water projects too. Therefore, I support, but this thing should be separated, properly audited and observed because there is a lot of misuse in county governments. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Ningependa kumpongeza Mhe. Barasa kwa marekebisho aliyoleta katika Mswada huu. Huzuku ya uzee ni pesa ya uzee. Imefika mahali malipo haya yamekuwa kama dhuluma. Kuna siku nilimpeleka mjane katika Bima House. Tulizungushwa hadi mjane akaniuliza: “Hawa wanajua kuwa mme wangu amekufa akilinda hili taifa? Je wanajua?” view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Mfanyikazi wa taifa ni mtu ana wajibu muhimu katika ujenzi wa taifa la Kenya. Mfanyikazi yule anaheshimika pindi ako hai. Anapokufa, ndiyo tunatuma salamu za rambirambi zetu. Hakuna ajuae wajane na mayatima. Haki ya yule aliyekufa si haki tena mpaka watu wa Bima watakapopenda. Sheria hii iliyorekebishwa na Mhe. Barasa itawanasua wale wanyonge waliodhulumiwa. Malipo ya uzeeni imekuwa ni kama dhuluma katika nchi ya Kenya. Kwa kawaida, miezi sita kabla ya kustaafu kwake, mfanyikazi huwa anapewa habari kwamba anakwenda kustaafu. Kwa nini shughuli za kumlipa yule mfanyikazi zisianze wakati huo? Wengine wamengojea pesa za uzeeni hadi wakafa. Ningependa kwa ushahidi ... view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Nimesimama kuunga mkono Mswada huu na nitafurahi sana kuona Wakenya wakipewa haki yao kwa muda wa miezi mitatu. Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 17 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to ask Question No.485/2021 directed to the Cabinet Secretary for Lands and Physical Planning: view
  • 17 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. (i) Could the Cabinet Secretary provide an update on the progress made with regard to the planned exercise for issuance of over twenty-one thousand (21,000) title deeds to residents of various villages in Tana River County? (ii) (ii) Could the Cabinet Secretary further clarify whether the title deeds issuance exercise has been approved by the County Assembly of Tana River as required by statute? (iii) Were public participation and other forums of stakeholder’s engagement undertaken in the community before the resolution on issuance of titles was arrived at? view
  • 8 Jul 2021 in National Assembly: Samahani, Mhe. Spika. Nimekuja kuchelewa. Nimepewa habari kuhusu hiyo ripoti lakini kwa sasa haijanifikia mkononi. view
  • 8 Jul 2021 in National Assembly: Ndivyo. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus