{"id":1002278,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1002278/?format=json","text_counter":100,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Bw. Spika, umetoa uamuzi ya kwamba Maseneta ambao wameketi viti ambayo hawaruhisiwe kuketi, waondoke. Mimi nahofia maisha yangu kwa sababu ya ugonjwa wa COVID-19. Uamuzi wako haukuzingatiwi na baadhi ya Maseneta. Umerudia mara kwa mara, lakini bado wanauchukulia uamuamzi wako kama mzaha."}