{"id":1003654,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1003654/?format=json","text_counter":77,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"vinanunuliwa, wananchi wanapewa barakoa na kadhalika. Hizi zote ni vitu za kuonyesha tu, lakini kwa ukweli hakuna jambo lolote linatendeka."}