{"id":1006969,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1006969/?format=json","text_counter":461,"type":"speech","speaker_name":"Kapenguria, JP","speaker_title":"Hon. Samuel Moroto","speaker":{"id":318,"legal_name":"Samuel Chumel Moroto","slug":"samuel-moroto"},"content":"Wakati Wakenya waliamua kuwa na ugatuzi, walikua na lengo kubwa sana kwa sababu hapo awali, mambo mengi yalikuwa yanabaki hapa juu. Sessional Paper No.10 of 1965, iligawa nchi na kuacha watu wa sehemu kame waumie sana."}