{"id":1011360,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011360/?format=json","text_counter":366,"type":"speech","speaker_name":"Lamu CWR, JP","speaker_title":"Hon. Ruweida Obo","speaker":{"id":786,"legal_name":"Ruweida Mohamed Obo","slug":"ruweida-mohamed-obo"},"content":"Ukienda upande wa Bara, katika Wadi ya Wito, huwa na mafuriko kila mwaka. Siku zote sisi huteta na KenGen. Lakini tunashukuru Mwenyezi Mungu siku hizi wanaingilia vizuri."}