{"id":1011700,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011700/?format=json","text_counter":317,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaura","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":13129,"legal_name":"Isaac Maigua Mwaura","slug":"isaac-mwaura"},"content":" Asante sana kwa kuwa na ari na motisha ya kuwafanyia Wakenya kazi. Sasa hivi nampa nafasi Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Mazingira na Mali Asili. Sen. Mwangi, nakuomba uchukue kama dakika nne."}