{"id":1012758,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1012758/?format=json","text_counter":39,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Mwaura)","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Tatu, kuelezea mikakati ambayo imewekwa kuhakikisha kwamba afya ya ubongo au akili na maswala yote husika yameweza kushughulikiwa pasipo na utekelezaji wa sheria hii."}