{"id":1013768,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013768/?format=json","text_counter":181,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Sen. (Dr.) Mwaura: Asante Sana, Sen. (Eng.) Mahamud. Mimi na wewe tulifurushwa kutoka Kamati ya Fedha na Bajeti baada ya Mkurupuko ambao ulitokana na Mgao wa Tatu wa Fedha."}