{"id":1014957,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014957/?format=json","text_counter":475,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Mwaura","speaker_title":"","speaker":{"id":13129,"legal_name":"Isaac Maigua Mwaura","slug":"isaac-mwaura"},"content":"Baada ya hapa, tuna njia mbili. Aidha tubadilishe mapendekezo haya na kutoa masharti na msimamo ambao utahakikisha ya kwamba wafisadi hawa wamechukuliwa hatua za kisheria---"}