{"id":1016076,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016076/?format=json","text_counter":103,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Lusaka","speaker_title":"The Speaker","speaker":null,"content":" Seneta, ninaona unalia kuliko aliyefiwa. Seneta wa Lamu mwenyewe yuko hapa na amesema atawajali wakati muafaka."}