{"id":1016431,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016431/?format=json","text_counter":35,"type":"speech","speaker_name":"Sen Faki","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Spika, ninaiomba Serikali kupunguza bei ya chakula katika mikahawa katika mbuga za kuhifadhi wanyama. Hii ni njia pekee ya kupunguza gharama na kuhakikisha watu wengi kabisa wanazuru sehemu hizo."}