{"id":1016720,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016720/?format=json","text_counter":324,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"Bw. Spika wa Muda, umenipa dakika moja ambayo nitaitumia vizuri ili kuwasilisha ghadhabu ya watu wa Taita-Taveta kihusiana na Kamati inayuhisika na COVID-19 ilioundwa tarehe 31 Mwezi wa Machi mwaka huu. Niliwasilisha taarifa yangu kwa Kamati hiyo tarehe 23 Mwezi wa Juni, kuomba Kamati hiyo itupe maelezo kuhusu pesa zilizogawiwa Kaunti ya Taita-Taveta kwa ajili ya kupambana na janga la COVID-19. Taarifa hiyo niliyotoa haikuangaziwa na Kamati hiyo, hivyo niliomba Spika anipe mwelekeo kuhisiana---"}