{"id":1019137,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019137/?format=json","text_counter":207,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Pili, Gavana Oparanya kutoa amri ya kufunga hizi hospitali na kuwaambia wafanyakazi waende leave ya wiki mbili amekiuka sheria. Kulingana na sheria, hana mamlaka hata kidogo kutoa amri kama hiyo."}