{"id":1019138,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019138/?format=json","text_counter":208,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Bi. Spika wa Muda, tunamuuliza Gavana Oparanya, katika sheria zote za Kenya na Katiba, ni kipengele gani kinampa yeye uwezo wa kufunga kaunti ama kuamrisha kaunti zote 47 ndani ya Kenya zifunge?"}