{"id":1019141,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019141/?format=json","text_counter":211,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Yeye kama Mwenyekiti wa CoG abaki hapo; wakae wakizungumza wakinywa Kahawa, na hayo yamalizikie hapo. Mambo ya kusema kwamba anaweza kuingilia hata Bunge la Seneti kutuambia jinsi ya kugawa pesa---"}