{"id":1019143,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019143/?format=json","text_counter":213,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Kukiwa na Gavana yeyote katika kaunti 47 nitakubaliana na Sen. Mutula Kilonzo Jnr., kwamba tumuite hapa atuambie na akicheza, basi atajua kazi ya Seneta ni gani. Tutamfurusha kutoka mamlaka."}