{"id":1019200,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019200/?format=json","text_counter":270,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana Sen. Farhiya. Kwa sababu ya muda, ningeomba twende kwenye statements lakini hakuna kuchangia, kwa sababu ni nyingi na muda umeyoyoma. Wakati huu nampa fursa Seneta wa Mombasa, Seneta Faki."}