{"id":1020941,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1020941/?format=json","text_counter":265,"type":"speech","speaker_name":"Igembe South, Independent","speaker_title":"Hon. John Paul Mwirigi","speaker":{"id":1574,"legal_name":"Cyprian Kubai Iringo","slug":"cyprian-kubai-iringo"},"content":" Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuchangia Mswada huu ambao umeletwa na Mhe. Gladys. Umekuja wakati mzuri. Utasaidia Wakenya wengi kutoka kule Mashinani ambao tunawakilisha katika Bunge hili."}