{"id":1021283,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1021283/?format=json","text_counter":295,"type":"speech","speaker_name":"Lungalunga, JP","speaker_title":"Hon. Khatib Mwashetani","speaker":{"id":2163,"legal_name":"Khatib Abdallah Mwashetani","slug":"khatib-abdallah-mwashetani"},"content":"kukamilisha chochote ambacho kinaletwa hapa. Tukiweka mikakati ya kisawasawa ya kuwa jambo lolote linalopitishwa na Bunge hili linakamilishwa, basi ripoti nyingi zinaweza kukamilishwa."}