{"id":1022075,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022075/?format=json","text_counter":348,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":13200,"legal_name":"Issa Juma Boy","slug":"issa-juma-boy"},"content":"Kama kuna shida, Serikali inafaa kusimamia PCK au kuwasaidia wafanyakazi wake kwa haraka kwa sababu hali ni ngumu sana. Ni vigumu sana watu kupata chakula wakati huu wa COVID-19. Nikifika Kwale, yeye huniangalia kwa ishara ya kutaka pesa."}