{"id":1022079,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1022079/?format=json","text_counter":352,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":13200,"legal_name":"Issa Juma Boy","slug":"issa-juma-boy"},"content":"Wakati huu wa COVID-19, watu wana shida ya watu kupata chakula na kulipia kodi za nyumba. Watu wengi wamefukuzwa kutoka nyumba walizokuwa wakiishi. Hilo ni jambo la kusikitisha kwa Wakenya."}