{"id":1024556,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1024556/?format=json","text_counter":214,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante Bw. Spika kwa fursa hii kuunga mkono Hoja ya kuaihirisha mjadala ambao ulikua unaendelea kuhusu Hoja ambayo imeletwa Bungeni na Sen. Sakaja wa Kaunti ya Nairobi."}