{"id":1025283,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1025283/?format=json","text_counter":330,"type":"speech","speaker_name":"Trans Nzoia, CWR, JP","speaker_title":"Hon. (Ms.) Janet Nangabo","speaker":{"id":1076,"legal_name":"Janet Nangabo Wanyama","slug":"janet-nangabo-wanyama"},"content":"kazi. Ndiyo naunga mkono hii Kamati na kusema kwamba Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikari achukue hatua na kuhakikisha kwamba mtu akipewa kazi lazima aikamilishe."}