{"id":1027463,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1027463/?format=json","text_counter":652,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Ahsante sana, Bi Naibu Spika. Sisi ni watumishi wa kaunti zetu na tuko hapa kufanya kazi. Sisi ni essential workers . Hii ni hoja ya nidhamu. Kwa hivyo, ni vyema uongeze wakati ndiposa tuweze kujadili Hoja hii ambayo ni muhimu kwa maisha ya Wakenya."}