{"id":1029412,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1029412/?format=json","text_counter":140,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"iwasilishe ripoti yake kwa muda mfupi utakao wezekana kwa sababu ni jambo ambalo linaathiri wengi hasa watu wanaofanya kazi za bandari."}