{"id":1031255,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1031255/?format=json","text_counter":210,"type":"speech","speaker_name":"Baringo CWR, KANU","speaker_title":"Hon. (Ms.) Gladwell Cheruiyot","speaker":{"id":13231,"legal_name":"Gladwell Jesire Cheruiyot","slug":"gladwell-jesire-cheruiyot"},"content":" Bwana Spika, naona kwamba pia wewe unafurahia haya mambo. Ni shwari kwamba ni mambo ambayo yanatuguza sisi sote. Wale wanawake ambao wamekeketwa - ingawaje sio wote ambao watakubali - huwa wanasema kuwa ukikatwa unakosa “ network” . Hiyo “ network ” inahitajika. Kazi ya wanaume ni kutunyanyasa. Wao wanapata “ network” lakini sisi hatuipati. Tunafananisha kiungo hicho na"}