{"id":1031430,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1031430/?format=json","text_counter":385,"type":"speech","speaker_name":"Mvita, ODM","speaker_title":"Hon. Abdullswamad Nassir","speaker":{"id":2433,"legal_name":"Abdulswamad Sheriff Nassir","slug":"abdulswamad-sheriff-nassir"},"content":"Tulisema na tukatoa maoni, na ninashukuru yamekubaliwa, kuwa ile ardhi - hamna shirika lolote la Serikali katika Kenya lenye ardhi zaidi kama Shirika la Reli la Kenya - ichukuliwe na fedha ambazo zinatumiwa kiholela holela zitumike kulipa madeni ambayo yalichukuliwa."}