{"id":1033261,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033261/?format=json","text_counter":250,"type":"speech","speaker_name":"Kilifi South, ODM","speaker_title":"Hon. Ken Chonga","speaker":{"id":13374,"legal_name":"Richard Ken Chonga Kiti","slug":"richard-ken-chonga-kiti"},"content":"yale, wanakuja kutengeneza hati miliki katika Wizara ya Ardhi halafu wanarudi kule. Wale ambao wamekuwa wakiishi ndani ya mashamba yale, wanaambiwa leo wakatafute makazi mapya."}