{"id":1033652,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033652/?format=json","text_counter":269,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana Seneta wa Nairobi. Kuna barabara hapa karibu na Bunge la Seneti, kwa hivyo, ni lazima tusikize miziki ya reggae na mingineyo, lakini sasa hamna kelele. Sasa tuko katika Hoja ya Nane."}