{"id":1033735,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033735/?format=json","text_counter":352,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kwamboka","speaker_title":"","speaker":{"id":9246,"legal_name":"Beatrice Kwamboka Makori","slug":"beatrice-kwamboka-makori"},"content":"Bi. Spika wa Muda, Rais pia alizungumia hati miliki kuwa katika mfumo wa digitali. Hii itataua shida ya hati miliki kusongamana katika maofisi. Pia itachukua muda mfupi kwa mtu kupata hati miliki."}