{"id":1033743,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033743/?format=json","text_counter":360,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kwamboka","speaker_title":"","speaker":{"id":9246,"legal_name":"Beatrice Kwamboka Makori","slug":"beatrice-kwamboka-makori"},"content":"Kwa hiyo BBI, maneno mazuri yatatokea. Sisi kama wanawawake wa Jamhuri ya Kenya tutafaidika. Kutakua na umoja. Kama ni mali, itakua ikigawanywa sawa sawa."}