{"id":1033745,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1033745/?format=json","text_counter":362,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kwamboka","speaker_title":"","speaker":{"id":9246,"legal_name":"Beatrice Kwamboka Makori","slug":"beatrice-kwamboka-makori"},"content":"Serikali hii ni ya Jubilee. Ni wakati wa wale ambao wako katika Serikali kufanya kazi; waache kufanya siasa ya mwaka wa 2022. Watulie na wasaidiane ili waweze kuendeleza Kenya yetu mbele"}