{"id":1034435,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034435/?format=json","text_counter":220,"type":"speech","speaker_name":"Wajir CWR, PDR","speaker_title":"Hon. (Ms.) Fatuma Gedi","speaker":{"id":1139,"legal_name":"Fatuma Gedi Ali","slug":"fatuma-gedi-ali"},"content":" Hoja ya nidhamu, Mhe. Naibu Spika Wa Muda. Ningependa kusema jambo kuhusu nidhamu katika Jumba hili. Wakati ulikuwa unazungumza, Mhe. Sankok alikuwa anachukua video . Ningetaka kujua kama hii iko katika Kanuni za Kudumu. Nimeona hili si jambo nzuri. Kwa hivyo ni vizuri aseme nia ya kuchukua hiyo"}