{"id":1034646,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1034646/?format=json","text_counter":124,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mhe. Olago Aluoch anajua vizuri kwamba wale ambao anawawakilisha Bungeni wameelewa lile swali ambalo ameuliza. Naona kuna watu wameweka intervention . Hebu tusikize Mhe. Duale."}