{"id":1037222,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037222/?format=json","text_counter":590,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"moja kwenda sehemu nyingine. Kwa hivyo ningependa kuwahimiza kuzingangatia kanuni zilizopo za kupambana na COVID-19 hivyo wanafaa kupunguza msongamano katika maeneo watakoenda kusherehekea. Nawahimiza Wakenya pia kuangalia kwamba kuna usalama wao binafsi na usalama wa wananchi wengine kokote watakapokuwa."}