{"id":1037224,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037224/?format=json","text_counter":592,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika wa muda, nachukuwa fursa hii kuwatakia Maseneta wote sherehe murwa za Krismasi na Mwaka Mpya. Ningependa pia kukupongeza kwa kutilia mkazo matimizi ya lugha ya Kiswahili katika Bunge hili. Nilifurahi sana wiki iliyokwisha---"}