{"id":1037240,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037240/?format=json","text_counter":608,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Sen.(Dr.) Mwaura): Kulingana na Kanuni Za Kudumu zetu, hilo si suala ambalo tunaweza kupigia kura. Kwa hivyo, ninawashukuru sana. Kabla ya kuahirisha kikao, nina Waraka Rasmi ambao ningependa kusoma kutoka kwa Bw. Spika wetu."}