{"id":1037243,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037243/?format=json","text_counter":611,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Waheshimiwa Maseneta watadhimiwa, kama mnavyojuwa tunapomaliza Kikao, hiki Jumanne, tarehe 1 Desemba, 2020, Seneti litakwenda kwenye likizo mpaka Jummane tarehe 9 Februari, 2021 kulingana na kalenda ya Seneti."}