{"id":1037252,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1037252/?format=json","text_counter":620,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nachukuwa fursa hii kuwashukuru nyinyi nyote kwa sababu ya vile ambavyo mlivyofanya kwa ujumla na pia kila mmoja wenu kwa kuonyesha umahiri mkuu na uzalendo."}