{"id":1043198,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1043198/?format=json","text_counter":170,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, kwanza kabisa, sheria inapendekeza kujumuisha federation za nchi na vile vile za kimataifa katika utekelezaji wa masuala ya anti-doping. Pili, katika Kifungu cha tano, wanapendekeza kuleta elimu ya masuala ya madawa katika risala za kufundihsa wanamichezo ili wajue dawa fulani zikitumika mtu atakuwa amevunja sheria."}