{"id":1049848,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1049848/?format=json","text_counter":54,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Omanga","speaker_title":"","speaker":{"id":13175,"legal_name":"Millicent Omanga","slug":"millicent-omanga"},"content":"ya Kaunti ya Nairobi. Seneta ambaye alipiga kura kwa niaba ya Nairobi ni Sen. Sakaja. Sikupata nafasi ya kupiga ile kura, lakini nilikuwa mwana kamati na tulitoa maoni yetu."}