{"id":1049906,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1049906/?format=json","text_counter":112,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Bi. Spika, amenipa habari hiyo lakini badala ya kusikiliza anaendelea kuongea. Sasa ni kama alikuwa anaingia tu katikati."}