{"id":1049909,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1049909/?format=json","text_counter":115,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Pole, Bw. Spika. Ni ulimi unateleza lakini si kumaanisha hivyo. Kumekuwa na kuingiliana kwingi sana kutoka kwa Sen. Pareno ambaye yuko hapa karibu nami."}