{"id":105353,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/105353/?format=json","text_counter":238,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Raila","speaker_title":"The Prime Minister","speaker":{"id":195,"legal_name":"Raila Amolo Odinga","slug":"raila-odinga"},"content":"Bw. Naibu Spika, ningependa kumwambia mheshimiwa Mbunge kuwa sisi sote ni Wakenya, tufanye hii kampeni kama Wakenya. Ikiwa wale wanaopinga na kusema âlaâ ndio watashinda, sisi tutawaunga mkono. Tutashikana mikono na kusalimiana. Ikiwa watashindwa, kama vile mimi nina uhakika kuwa watashindwa, nao vile vile wasalimu amri. Asante, Bw. Naibu Spika."}