{"id":1055148,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1055148/?format=json","text_counter":409,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Christopher Omulele","speaker_title":"The Temporary Deputy Speaker","speaker":{"id":2145,"legal_name":"Christopher Omulele","slug":"christopher-omulele"},"content":" Hiyo ni hoja ya nidhamu ya kweli. Tusichanganye mambo ya ukabila na mambo ya kukosa nidhamu na mwelekeo katika maisha. Mhe. Sankok, fafanua zaidi hilo jambo na kama hauwezi, itabidi uliondoe."}