{"id":1057877,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1057877/?format=json","text_counter":80,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante Bw. Spika. Nasimama kuambatana na Aya ya 48(1) ya Kanuni za Kudumu kuomba kauli kutoka kwa Kamati ya Barabara na Uchukuzi kuhusu uboreshaji wa barabara ya Mshomoroni-Mwakirunge kufikia hali ya barabara ya lami."}